We unapenda akuiteje?

We unapenda akuiteje?

doppla2

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2014
Posts
1,363
Reaction score
1,431
Kati ya haya maneno unapenda uitweje na mpenzi /mme wako.

Mama
Mummy
Love
Honey
Darling
My..
Sweetie...
Mahabuba
Kipenzi
Mume wangu
Mke wangu
Baba J
Mama J


Mimi napenda kuitwa ...mkalia ini wangu

Karibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aniite jina lolote ila sio baby, anaweza kuona nyota za kila rangi.
 
Back
Top Bottom