Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
#ufukara, #umasikini, kinachofanyika na juhudi za kila serekali ni kuondoa Ufukara ndio maana yapo mashirika ya kugawa fedha vijijini na kuwezesha familia. Umasikini upo duniani kote hata America Japan masikini wapo lakini sio mafukara.Kuna jamaa aliuliza swali mpaka leo halijajibiwa:
Swali: Kama pesa hainunui furaha, ufukara unanunua nini?
Crocodiletooth naomba mji
Ufukara unanunua tabu na maumivu, fika Hospital uone watu wasio na pesa wanavohangaika, mwenye pesa ana nafuu akiumwaKuna jamaa aliuliza swali mpaka leo halijajibiwa:
Swali: Kama pesa hainunui furaha, ufukara unanunua nini?
Crocodiletooth naomba mji
Hakuna kitu kibaya kama mwanaume rijali utamani kula walau kamtori halafu ushindwe kununua kisa huna hela huwa inauma kweli,You can have all these but without money is nothing...
Nor really but rather, possibly 50 by 50Do you trust this?πππ
What the money do when you have everything surrounding you such as food, drinks, healthy, and time to enjoyingYou can have all these but without money is nothing...
Mmmmh,so how can you be wealthy without those staff?just by dreaming only? C'mon nigger ur tripping!!Stop being fooled by the illusion of wealth.
Big houses, expensive cars, designer items, and a fancy lifestyle are not wealth; they are debt.
Wealth is #time, #freedom, #options, and #health.
Do you trust this?πππ
Broo chakula na vinywaji si vinanunuliwa na pesa..?What the money do when you have everything surrounding you such as food, drinks, healthy, and time to enjoying