Wealth Per adult comparison, Kenya na Tanzania

Look at that vast gulf yet they said sisi tuna budget kubwa ya hewa tu na SGR yetu yote ni ya kukopa unlike mitanzania wanaojenga kwa "pesa za ndani" .
 
Look at that vast gulf yet they said sisi tuna budget kubwa ya hewa tu na SGR yetu yote ni ya kukopa unlike mitanzania wanaojenga kwa "pesa za ndani" .
They talk big na hakuna ata any statistic wako juu ya kenya. From gdp per capita, ppp per capita, % of people below the poverty line, % ya middle class population n.k
 
Na bado mnahema sasa nyie pesa zenu ni Za kununulia cardet tu au vp
 
Ndio maana mm huwa nawaitaga Kenya vichwa vya panzi.
Huwa wanaamin statistics beyond reality.
Hapo kama taifa la kwanza lilitakiwa liwe Qatar we unaniwekea Iceland.
Aya huyo jamaa kapimaje uwezo wa kifedha wa watu ktk kila taifa?
Hata kufikiria wakenya huwa hamfikirii kabisa.
Achen utoto nyie.
Hapo sioni ma giant kina Bahrain,Kuwait na Qatar wakiongoza usukan ilhali hao wanajulikana kuwa na utajiri mwingi.
Pelekeni utoto wenu huko.
 
Hoja yako inadhihirisha wazi kwamba elimu ya madrassa pekee yake huwa haitoshi, pole sana jombaa. Mtazamo wako unahuzunisha kweli kweli.
 
Hoja yako inadhihirisha wazi kwamba elimu ya madrassa pekee yake huwa haitoshi, pole sana jombaa. Mtazamo wako unahuzunisha kweli kweli.

Hehehehe!! Hapendi elimu dunia..
 
Because they were not part of the statistic.Last I checked, this was based on a sample of nations, not an entire planet.Hukusoma Statistics kwa Hesabu,Gografia ama Uchumi???
 
Shithole education system.
Kuongoza kwa GDP per capita haimaanishi unaongoza kwa wealth per adult.

GDP per capita ni mshahara/income.
Wealth ni mali yote ambayo umekusanya kutoka uzaliwe.
 
stats are a mirror of the reality. Show me any economic stat yenye TZ imeipiku Kenya?
 
na hio si gdp per capita baba, soma title ya thread
 
Uongo mtupu, tumegundua dunia kote Magu anachukiwa kwa kuendesha uchumi was Tanzania "kwa pesa za ndani". Haiwezekani Zambia na Yemen kutushinda, Hii ni hujuma kubwa ama vipi Ummayed
 
Shithole education system.
Kuongoza kwa GDP per capita haimaanishi unaongoza kwa wealth per adult.

GDP per capita ni mshahara/income.
Wealth ni mali yote ambayo umekusanya kutoka uzaliwe.
Kwan ni nini mm nazungumzia hapa!??
 
Shithole education system.
Kuongoza kwa GDP per capita haimaanishi unaongoza kwa wealth per adult.

GDP per capita ni mshahara/income.
Wealth ni mali yote ambayo umekusanya kutoka uzaliwe.
Puuuf.
Asee a nation with greatest slums(Kenya) is shithole but not Tz.
Base on reality mzee.
Maana hata sijazungumzia gdp nimezungumzia idadi ya watu wenye hela.
Hakuna wa kuishinda Qatar kwasababu wale walipitisha muswada wa kila raia kumiliki hisa ya mafuta ya taifa la Qatar na kila mwisho wa mwez alofanya kaz asiye na kaz wote hulipwa.
Can you compare them with your Iceland ??
Hukuelewa nn nazungumzia.
Ila ww ndie yule ulonambia kuwa Turkana watu wafa njaa kwasababu wamekosa maindi ya ugali japokuwa vyakula vingine km rice vipo.
Kwahyo sikushangai.
Let me keep silent.
 
na hio si gdp per capita baba, soma title ya thread
Kwan Nimekwambia nazungumzia Gdp?
Embu tazama sera za Qatar na Bahrain then nambie wapi kuna idadi kubwa ya matajir kat ya Iceland uloiweka ya kwanza na Qatar.
Ilhali Qatar wananchi wanapewa funga la hisa ya mafuta na mwisho wa mwez wote hulipwa alo na kaz na asiye na kaz wote hulipwa kwa Dinar hela ya kwanza kwa thamani ulimwenguni ilhali Iceland wako watu wa dollar ama Euro.
Can it get into someones head??
 
Nonsense ujuzi wako kwa uchumi ni finyu sana.

Hii sio income per capita hii ni muonekano wa wealth per capita ,Na ndio ujue we mjinga taifa la Qatar liko nambari 6 ama 7 kwa income nyuma ya Norway ,Switzerland,Iceland,Luxembourgh,Ireland etc.
 
The more you talk the more you expose your education system.
Kwa sababu wewe ni mjuaji kuliko IMF na World Bank, do your research and publish.

Meanwhile, endelea kula albino na amani. Wacha kusumbua.
 
Nonsense ujuzi wako kwa uchumi ni finyu sana.

Hii sio income per capita hii ni muonekano wa wealth per capita ,Na ndio ujue we mjinga taifa la Qatar liko nambari 6 ama 7 kwa income nyuma ya Norway ,Switzerland,Iceland,Luxembourgh,Ireland etc.
Umeelewa hata nilichozungumzia?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…