Kwahiyo flight radar inaonyesha kumeletwa silaha za Aina gani na ziko ngapi?Toka jana kumekuwa na ndege nyingi toka Uganda na UAE zikitua na kutoka Tanzania.
View attachment 3496390
Hii ilikuwa jana👆
View attachment 3496391
Sasa leo UAE wanaomiliki strategic areas hapa Tanzania wapo busy kuleta silaha na mercenaries wa Uganda, fuatilieni flight radar mtajionea.
View attachment 3496392
Watanzania tupiganie nchi yetu kwa pamoja.
Tukizembea our country inaenda kuwa doomed.
Wananchi wachukue silaha wa defend nchi yao, tuna jkt members wengi, trained and ready, jeshi likilega wananchi waende mbeleWananchi tumeonyesha njia kuwa ccm hatuitaki lakini jwtz hawana la kufanya hadi sasa wapo tu.
Je tufanye nini zaidi ya tulichokifanya?
Silaha tunatoa wapi? we unadhani kama tungekuwa na siraha hii dharau ya kutekwa ingetufikisha hapa?Wananchi wachukue silaha wa defend nchi yao, tuna jkt members wengi, trained and ready, jeshi likilega wananchi waende mbele
Good questionSilaha tunatoa wapi? we unadhani kama tungekuwa na siraha hii dharau ya kutekwa ingetufikisha hapa?
Yupo Tz amesharudi kuapishwa harakaharaka then arudi mafichoni kusikilizia reactions za Watanzania..... Kuhusu silaha zinaingizwa sana kupitia airport, border na sehemu mbalimbali ili task force wao waendelee kuua Watanzania. Kumbuka hawa majangili wana linda mali na madili yao.Hana uwezo wakuingiza siraha na jeshi la ziada kwa sasa kupitia our main airport JKA, na ndio maana Yuko mafichoni..hili nila JWTZ kwa hapa lilipofika..!!we have done our part Tena bila siraha za moto..NI MUDA sasa wa JWTZ kuacha uoga na visingizio na kuingia vitani rasmi dhidi ya Hawa wavamizi..
******* , kwanza intelijensia Yao ndogo, yaan sisi tunaenda front na mawe watu wanasiraha za moto, is unfair battle af wao wenye silaha wanasema twende TU na hakuna kitu wanafanya Hawa jamaa ni waoga sana.. anyway haturudi nyuma mpaka mpango wa Mungu utakapotimilika..let them kill usJeshi hili nilijua linawatu wajasiri kama tunavyoona kwenye maonyesho wakiwa na mzuka na kutembea kwa ujasiri kana kwamba wanamaanisha kweli kumbe bana tulikuwa tunajidanganya asee.
Taarifa zilienea kuna jeshi la uganda limeingiza wanajeshi 500 wao wala hawakuchukua hatua yoyote ile hatimae wamefika mjini wanaua watu!
Watu wamejitoa kuandamama kwa damu na jasho na hata kifo jeshi linatuswaga tu sasa mtatuswaga hadi lini?
Hii ya kwamba tuendelee kutoka kwa wingi hasa wingi gani mnaotuka ninyi na baada ya kutoka kwa wingi nini kitafuata?
ACHENI VISINGIZIO HIVYO
Toka jana kumekuwa na ndege nyingi toka Uganda na UAE zikitua na kutoka Tanzania.
View attachment 3496390
Hii ilikuwa jana👆
View attachment 3496391
Sasa leo UAE wanaomiliki strategic areas hapa Tanzania wapo busy kuleta silaha na mercenaries wa Uganda, fuatilieni flight radar mtajionea.
View attachment 3496392
Watanzania tupiganie nchi yetu kwa pamoja.
Tukizembea our country inaenda kuwa doomed.
Wametuangusha sana Watanganyika......our heros hawawezi potea hivi hivi lazima tulipe kisasiJWTZ hakuna kitu pale, tutafute silaha wenyewe, hii ni vita , we expect casualties hadi kieleweke.
Na ndicho kinachofanyika sasa mkuu.....kiukweli inabidi tupambane kwa kila namna kumuondoa Blood thirst vampire woman. Nchi hii tayari imeshavamiwaUAE ndo inafadhili vita huko Sudan.
Tumemuacha huyu mama aingie uhusiano wa kuuza rasilimali zetu kwa waarabu wa UAE, sasa muarabu atalinda rasilimali zake nchini kwa kutuletea vita na mauaji. Kila atakeyeinua mdomo wake kupinga ataletewa watu wa kumtoa roho.
Hawa JWTZ badala ya kulinda nchi na wananchi wao wanalinda wahuni na kakundi kadogo ka wauza nchi.