sic2019
Senior Member
- Oct 14, 2018
- 129
- 81
Habari!, ndugu wana JF natumai wote ni wazima.
Mimi ni graduate niliyemaliza Bsc Computer science , nime base kwenye web development baada ya kuona uwezo na mapenzi niliyonayo katika upande huo.
Skills nilizonazo :-
1. Html, CSS
2. Javascript
3. PHP & laravel framework
4. Java
5. Python & Django framework
Kazi nilizowahi kufanya :-
1. andikatu.com
2. affluencetraining.co.tz
Lengo la uzi wangu nikukaribisha kazi zote zinazohusiana na web development kutoka kwenu mfano kama zifuatazo :-
1. Kutengneza website, blog, e-shop, system software etc
2. Troubleshooting website or system
3. Maintain and Update website or system
4. Monitoring traffics
5. Na nyingine mlizonazo
NB: kama huna kazi yoyote inayohusiana hapo lakini naweza kuifanya usisite kunijuza kikubwa iwe ya halali ili niweze kujikimu kimaisha ndugu yenu.
Ahsante!.