Tuna ofa kwa wanaohitaji kutengenezewa website, unalipia kifurushi cha Speed Pro cha Tsh 150,000. Tunakupatia husting ya mwaka mmoja, Domain bure, na tunakutengenezea website, tupigie tufanye kazi 0780707771Habari mkuu, nina swali hapo, kwa mimi nikitaka website ya kampuni from the scratch mchakato na gharama inakuwaje?
Mkuu mimi nahitaji maelezo zaidi!💥OFFER-OFFER-OFFER BAABKUBWA💥
💥 Jipatie Web Hosting Ya Mwaka Mmoja Kwa Tsh 55,000 Tu! 💥
1️⃣ 25 NVMe SSD Storage
2️⃣ Free Website Migration/Transfer
3️⃣ Maximum Speed (Up to 3x)
4️⃣ Kama Unaitaji (Landing Page) au PHP Script yoyote, tuta-install Bure
⚡️ Usikose ofa hii ya kipekee!.
📞Tupigie: 0780 707 771
NetFasta
💨 Tumezingatia Speed Na Security:
✔️ NVMe SSD Storage
✔️ LiteSpeed Server
✔️ Unlimited Bandwidth
✔️ Imunify360 (Malware Detection and Removal)
✔️ Free SSL Certificates .
Domain name sijui address yake inakuwa co.tz, or.tz, au ni org, .com au yoyote mteja atakayo kwa huyo gharama?Tuna ofa kwa wanaohitaji kutengenezewa website, unalipia kifurushi cha Speed Pro cha Tsh 150,000. Tunakupatia husting ya mwaka mmoja, Domain bure, na tunakutengenezea website, tupigie tufanye kazi 0780707771
Storage kwa mwaka ni kiasi gani
Hizo gharama kwa mwaka wa kwanza tu, baada ya hapo unalipia 110,000 kwa mwaka, kuhusu hiyo website naitaji maelezo zaidi, file unazoweka ni kubwa kiasi gani?Mkuu mimi nahitaji maelezo zaidi!
Hizo gharama ni wakati wa kwanza or ni endelevu ?
Nikihitaji website ambayo kutakuwa na payments, naweza ku-upload some files visitors wangu wakapakua, naweza kugenerate some sort of ID (unique kwa kila mtu atakayefanya payment). Inacost bei gani system kama hiyo? Including security, SSL and stuffs?
Nimekufollow hapa, nkimaliza kukusanya requirements zangu nitakushtua mtaalamHizo gharama kwa mwaka wa kwanza tu, baada ya hapo unalipia 110,000 kwa mwaka, kuhusu hiyo website naitaji maelezo zaidi, file unazoweka ni kubwa kiasi gani?
Unachagua kutokana kampuni yako au taasisi....huwezi normal company ukapewa .org au .edu/ac au .go....Unachagua unayotaka, yoyote ile kati ya hizo ulizotaja
Mkuu hizo domain zote tunazo, zinalenga matumizi flani lakini si kwemba nilazima kampuni isajili hiyo domain, hata wewe unaweza kusajili domaini hiyo ila unashauliwa usajili kutokan na matumizi yako yafanane na domain uliyoichaguaUnachagua kutokana kampuni yako au taasisi....huwezi normal company ukapewa .org au .edu/ac au .go....
..
Unarudi kule kuleMkuu hizo domain zote tunazo, zinalenga matumizi flani lakini si kwemba nilazima kampuni isajili hiyo domain, hata wewe unaweza kusajili domaini hiyo ila unashauliwa usajili kutokan na matumizi yako yafanane na domain uliyoichagua