tokea jana mkuu..nadhan labda wanaupload selections maana necta nayo ilikua hivihivi
Haifunguki,au ni kwangu tu?
wamezima servers, wako baa wanachapa maji.
usiingie kwa kwa www.go.tz ila tumia http://www.cas.go.tz
haraka za nini tulieni kama ni majina watatoa tu hata wacheleweshe lamna gani.