webisite ya wanafunzi wa sekondari na walimu

webisite ya wanafunzi wa sekondari na walimu

james nderimo

Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
20
Reaction score
8
habari zenu...!wakati niki sirf kwenye tovuti mbalimbali nimegundua kuwa kun awebsite ambayo wanafunzi na walimu wanaweza kuitumia inaitwa www.SONGOKA.COM sasa kama wadau wa elimu jaribu kuangalia jinsi gani mnaweza kufanya websitre hii iweze kukuwa na wanafunzi wapu nguze matumizi ya facebook
 
Mbona hakuna kidato cha 5+6????nahitaji wanafunz wangu wanufaike na hii web
 
ni nzuri ... inawafaa sana wanafunzi wa sekondari... kama weye ni mmoja wa waanzilishi wa hiyo site .. hebu wekeni sehemu maalumu ya council kwa ajili ya wanafunzi wanaomaliza form 4 .. combinations gani zitawafaa wakiingia A- leval...

vijana wengi wanafata mkumbo na kusoma combinations ambazo hawana uwezo nao, natarajia siku nikirudi TZ nitaenda katika shule niliyosoma mimi na kuongea na wanafunzi kuhusu hili jambo.
 
kaka wizara inashugulikia hilo swala.wataweka kila kitu ili wanafunzi na walimu waweze kupanua njia za kufaulu zaidi.
 
Back
Top Bottom