Jamani ndugu zangu wa jf, naomba kuuliza.
Ninahitaji kuanzisha native application ambayo inavitu complicated kiasi ndani yake.
Je, nitafte kampuni initengenezee App, ama nitafte developer wa mtaani?
Na kama ni kampuni, kampuni gani liko vizuri na lina uwezo mkubwa hapa Tanzania?