INAUZWA Website Inauzwa-Miliki Biashara yako

INAUZWA Website Inauzwa-Miliki Biashara yako

Masokotz

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Posts
3,713
Reaction score
6,121
Habari za wakati huu;

Website Inauzwa.Ni website ya biashara ya affiliate/reseller Program.Ukinunua website utapata faida zifuatazo;
  1. Utapata Domain name
  2. Utaweza kuingiza kipato kwa kuuza bidhaa mbalimbali kama zilivyo katika website
  3. Utapata mafunzo ya jinsi ya kusimamia na kuendesha biashara hio
Baadhi ya bidhaa na huduma utakazoweza kuuza ni pamoja,hosting,domain names,erp systems,n.k.

Kwa maelezo zaidi pm au email:masokotz@yahoo.com

Wahi bei ni maelewano.
 
Back
Top Bottom