Website optimization and Website marketing

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
22,227
Reaction score
8,741
Nimekuwa niki submit website yangu kwenye search engine mbalimbali kwa muda mrefu sasa lakini sijapata mafanikio kwani bado haifanyi vizuri kwenye search engine hasa Yahoo,Google, Bing nk
nime jaribu kulipia kwenye ads za google na yahoo hata Jamiiforums..lakin sipati Inquire je nifanya je...
Naamini humu kuna-Webmasters/Web Developers ambao mtasaidi..
 
Nimejaribu ku-google site ambayo uliitangaza via JF SedAdventure(s?) na natumia maneno haya:

Sedadventures Tanzania
au sedadventure au sedadventures na nadhani hata wewe ulipo ukijaribu utapata results sawa na ninazopata, unataka nini haswa mkuu?

Mkuu, kuna kitu kingine muhimu cha kuzingatia, kuweka keywords zaidi ya 10 basi zinaharibu rank yako kwenye search engines!
 
Lengo langu iuze vile bado iko kwenye 0/10 ranking...kuhusu keywords nitalifanyia kazi maana huwa naweka hata hamsini asante kwa ushauri wako mkuu....
 
Nadhani you are refferring to "Search Engine Optimization"
Soma hii article itakupa 10 SEO techniques

Top 10 search engine optimization techniques | Dustin Brewer Web Design (CLICK)

Kuongezea tip mmoja ambayo ilinisaidia mimi.

- Dynamic Content :
Yaani website yako iwe hai. Uwe mwepesi wa ku-update content. Mimi niliweka kitu kinachoitwa RSS feeds. Niliweza kutumia RSS (pamoja na script nyingine) kuleta habari kutoka tovuti mbali mbali na kuziweka kwenye tovuti yangu.

Huu ujanja uliniwezesha kupandisha tovuti yangu juu kwenye google mpaka ikawa ya tatu kwenye search.

Ilinichukua miezi mitatu, so you should have patience.
 
Kitu cha muhimu kuliko vyote ni High Quality Backlinks.
Hii inamaanisha kuwe na site nyingi ambazo zinailink saiti yako, hizi saiti zenyewe zikiwa zina content inayohusiana na site yako (e.g Tourism) na ziko juu kwenye Google ndo zinakuwa "high quality"
 
Asante, itabidi niingie darasa kidogo kuhusu RSS....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…