website ya ajira utumishi

website ya ajira utumishi

Lady G

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2010
Posts
515
Reaction score
131
habari wakuu msaada jamani kwa anaeijua link hiyo.
 
This account has been suspended.
Either the domain has been overused, or the reseller ran out of resources.
Huu ndio ujumbe unaotoka kwa 3days nw.

Serikali inahost domain kwa mtu binafsi hana space ya kutosha, matokeo yake ndo hivi pole sana
 
inafunguka lakini hakuna kipya, tofauti kabisa na matangazo ya kwenye radio na tv,
 
Back
Top Bottom