T tzhumoally JF-Expert Member Joined Mar 20, 2015 Posts 412 Reaction score 156 Apr 27, 2015 #1 nilikua nataka kuingia katika website ya bodi ya mikopo kuangalia taarifa mpya,duuh nimekutana na mauzauza sijui hata ni nini,ma IT watujuze
nilikua nataka kuingia katika website ya bodi ya mikopo kuangalia taarifa mpya,duuh nimekutana na mauzauza sijui hata ni nini,ma IT watujuze
Governor of Bettors-GB JF-Expert Member Joined Jul 14, 2013 Posts 10,568 Reaction score 9,710 Apr 29, 2015 #2 Imeingilwa Mbele au nyuma? Na hana adabu anainajisi Bodi huyo?
A anna mwakaringa JF-Expert Member Joined Feb 13, 2015 Posts 351 Reaction score 75 Apr 29, 2015 #3 Lohhhhh jamani jf ni zaidi ya raha!!!
nyamchele JF-Expert Member Joined May 28, 2014 Posts 1,325 Reaction score 1,034 Apr 29, 2015 #4 tzhumoally said: nilikua nataka kuingia katika website ya bodi ya mikopo kuangalia taarifa mpya,duuh nimekutana na mauzauza sijui hata ni nini,ma IT watujuze Click to expand... Imekuwa hacked...habari hii ipo mudatu hapa jf....angalia https://www.jamiiforums.com/tech-ga...kazi-yao-kwenye-webisite-ya-mikopo-heslb.html
tzhumoally said: nilikua nataka kuingia katika website ya bodi ya mikopo kuangalia taarifa mpya,duuh nimekutana na mauzauza sijui hata ni nini,ma IT watujuze Click to expand... Imekuwa hacked...habari hii ipo mudatu hapa jf....angalia https://www.jamiiforums.com/tech-ga...kazi-yao-kwenye-webisite-ya-mikopo-heslb.html