Website ya brella imepatwa na kwikwi gani?

Website ya brella imepatwa na kwikwi gani?

Rutunga M

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2009
Posts
1,769
Reaction score
1,390
Ndugu hii website ni siku ya pili haiko hewani. ni kwangu tu au wanafanya marekebisho.
 
Mimi kitu hua sielewi website nyingi za serikali usiku hazifanyi kazi na sijui shida ni nini.
 
Website yenyewe iko kama vile imetengenezwa mwaka 1987,hakuna watu wanaoiabisha nchi hii kama hawa mbwa wanaotengeneza websites za serikali
 
Back
Top Bottom