Elections 2010 Website ya CHADEMA mbona ninaitafuta haipatikani, kulikoni?

Elections 2010 Website ya CHADEMA mbona ninaitafuta haipatikani, kulikoni?

Ntemi Kazwile

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2010
Posts
2,182
Reaction score
308
Jamani leo ni siku ya tatu sasa nimekuwa najaribu kutafuta website ya Chadema na habari kutoka mtandaoni zinazomhusu Mkombozi Slaa lakini link zote zinaonekana zina mshikeli, je zimefisadiwa? Au nakwenda kwenye wrong links.
Mwenye web address ya Chadema na ile ya Kampeni ya Dr Slaa naomba anisaidie
 
Back
Top Bottom