Website ya Daily News ina virus?

Website ya Daily News ina virus?

Kaizer

Platinum Member
Joined
Sep 16, 2008
Posts
25,324
Reaction score
17,846
Wakuu...nimeona niwape tahadhari,, katika kujaribu kufungua tovuti ya daily news (habari leo haina shida) nimekumbana na kirudi, ambacho kwa bahati nzuri anti virus yangu imekiblock.

unaweza kujaribu pia lakini chukueni tahadhari. nimetumia browser ya internet explorer
 
Imekuwa vema umetoa taarifa, hope watalifanyia kazi suala hili.
 
Back
Top Bottom