Wakuu...nimeona niwape tahadhari,, katika kujaribu kufungua tovuti ya daily news (habari leo haina shida) nimekumbana na kirudi, ambacho kwa bahati nzuri anti virus yangu imekiblock.
unaweza kujaribu pia lakini chukueni tahadhari. nimetumia browser ya internet explorer