Website ya Halotel haifunguki!!

Website ya Halotel haifunguki!!

raslimali

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2014
Posts
1,958
Reaction score
1,744
Habari

Najaribu kufungua website ya Halotel www.halotel.co.tz haifunguki. Hii error ni kwangu tu au? Kama wahusika wamo humu fuatilieni. SSL imepitwa na muda nadhani ndiyo tatizo ila Kuna option naweza kuingia insecure lakini hapa hakuna inataka Reload lakini haisaidii chochote
 
labda mabomu ya russia yameharibu server zao
 
Habari

Najaribu kufungua website ya Halotel www.halotel.co.tz haifunguki. Hii error ni kwangu tu au? Kama wahusika wamo humu fuatilieni. SSL imepitwa na muda nadhani ndiyo tatizo ila Kuna option naweza kuingia insecure lakini hapa hakuna inataka Reload lakini haisaidii chochote
Ni kweli Mkuu hata upande wa internet Haloteli tangu juzi nishidaaaa
 
Back
Top Bottom