Habari
Najaribu kufungua website ya Halotel
www.halotel.co.tz haifunguki. Hii error ni kwangu tu au? Kama wahusika wamo humu fuatilieni. SSL imepitwa na muda nadhani ndiyo tatizo ila Kuna option naweza kuingia insecure lakini hapa hakuna inataka Reload lakini haisaidii chochote