website ya majira kulikoni?

website ya majira kulikoni?

Mimi pia nimejaribu sikupata. Nimemwuliza mhariri, nasubili majibu. Nitakujuza kinachoendelea. Inawezekana mafisadi wamwapa onyo kama kawaida yao.
 
Pia na ya Chadema nayo haipatikani, sijui kuna kitu gani kinaendelea hapa?
 
Back
Top Bottom