Website ya Mwananchi ina virus

Masanilo

Platinum Member
Joined
Oct 2, 2007
Posts
22,286
Reaction score
4,523

NB

Kama kuna mwenye mawasiliano nao awaafikishie ujumbe

Masa
 
I noted that as well when I was trying to peruse the news via their website!
 
NB

Kama kuna mwenye mawasiliano nao awaafikishie ujumbe

Masa
Shukrani kwa kutoa taarifa. Nimeongea na webmaster wa Mwananchi na anashughulikia.

Nimempa namna ya kufanya, sidhani kama itamchukua zaidi ya 1hr kumaliza tatizo hilo. Labda kama haelewi nini afanye.

Kwa wanaotumia Internet Explorer basi virus inaingia kwenye pc zao bila wao kujua! Ni vema mtu asiitembelee.
 
Great Maxence

Umesahau kunipa thanks pale juu!
 
Great Maxence

Umesahau kunipa thanks pale juu!
Hahaha, unapenda sana eh? Hata hivyo tume-edit 1st post yako na kuweka image ili iwe rahisi hata wale wasiopenda kujisajili wapate ujumbe maana attachment hawataiona 🙂
 
Great Maxence

Umesahau kunipa thanks pale juu!

Umenifurahisha sana Masanilo,naona unamkumbusha kila mtu akupe thanks,nimeshakupa mkuu,nami pia nilifungua asbh ikaniletea msg ya ajabu nikaachana nayo. Thanks again Masanilo.
 
Wakati wenzake tunamalizia siku mwenzetu ndio anaamka na breaking news ya kiporo cha Masa. Mwambie aitafute halafu akumwagie thanks kadhaa.

Chriss

Watu wa hivi ni wanyimi sana wa thanks ila kwa matusi ni balaaa.....
 
Hahahaha! Kama FL1! Katubania sote. Labda mpwao akirudi tukuyu anaweza kuwin

Najua huko aliko anaharibu ile mbaya yule anamaneno ya dhahabu si ajabu anamPM kimtindo
 
NB

Kama kuna mwenye mawasiliano nao awaafikishie ujumbe

Masa
Thanks, thanks, thanks. Maana hata mimi karibu kila siku lazima nifungue website ya mwananchi.
 
Thanks, thanks, thanks. Maana hata mimi karibu kila siku lazima nifungue website ya mwananchi.

Ingependeza GM7 kama ungegonga kitufe cha Thanks!
 
Ingependeza GM7 kama ungegonga kitufe cha Thanks!

Mkuu leo umekomalia hicho kitufe kweli kweli. Nadhani kuna washikaji huwa hawajui maana au hawajali umuhimu wake. Binafsi ni miongoni mwa vitufe ninavyovipenda sana! 🙄
 
Mkuu leo umekomalia hicho kitufe kweli kweli. Nadhani kuna washikaji huwa hawajui maana au hawajali umuhimu wake. Binafsi ni miongoni mwa vitufe ninavyovipenda sana! 🙄

Kamanda

Nimewaomba MoDs watuwekee kitufe kingine mtu akichemka apate hicho naona wamenichunia. Nadhani mkuu umekikumbuka hahahahaahah
 
Wakati wenzake tunamalizia siku mwenzetu ndio anaamka na breaking news ya kiporo cha Masa. Mwambie aitafute halafu akumwagie thanks kadhaa.

Mkuu unapopata breaking news sidhani kama mwanzisha thread ana-scroll kutizama kama ilishapostiwa. Kwa mfano hii ya virus warning ni kutundika tu mara moja. Mods najua huwa wanaunganisha baadaye just incase zikigongana. Sasa mwenzetu kaamka asubuhi na kuona tatizo na kulileta hapa mara moja jambo ambalo jema na anahitaji credit tu. Ni mawazo yangu.
 
Kwa tunaopenda kutembelea tovuti ya Mwananchi kuna hii news, kama wahusika wa site hiyo huwa wanapitia JF naomba warekebishe mambo.

Nimekutana na kitu hiki nilipotaka kusoma habari:

Mods: Samahani nimeiweka hapa makusudi kwa kuwa ni jukwaa ambalo lina wateja wengi na may be wahusika wanaweza kuona kwa urahisi ili washughulikie tatizo.

Vinginevyo, inaweza kuondolewa na kupelekwa popote panapohusika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…