Website ya Necta

Ni tatizo la tangu zamani,

Wanatumia server za zamani, Pesa za server mpya wanatafuna.

Sever za Necta haziwezi kumudu watu elf 20 wakiingia kwa mpigo, mbadala wa uhakika wawe wanaweka matokeo server za jamiiforums, hata watu milioni waingie kwa mpigo, kitu kimesimama.
 
Website ya necta na ya wizara ya elimu toka toka jqna mapema asubuhi najaribu kufungua hazigunguki mpaka muda huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…