Website ya taifa ina Virus!

Status
Not open for further replies.
Duh......hivi hi site ipo chini ya wizara gani? nataka mdogo wangu mtaalam wa IT aombe kibarua pale for this........wamelala sana aisee!
 
Hiyo ndo iliyokuwa kasi mpya, ari mpya na nguvu mpya. Even kitu kama hiki serikali inashindwa. Aibu aibu aibu!
 
naona mchango wetu wana JF umesaidia maana sasa inapatikana

www.tanzania.go.tz

kupatikana inapataikana, lakini je ina virusi bado?
google bado wanasema ndio!
http://www.google.com/safebrowsing/diagnostic?site=http://www.tanzania.go.tz/&hl=en
 
Iwe na virus isiwe navyo ila kiukweli data na info zake hazijitoshelezi hasa kwenye ripoti na statistics mbalimbali za nchi hasa kwenye utalii na hata kwenye nishati na madini. Ingawa kuna website za wizara still bado zipo na data za kizushi nendeni mkajione mfano wa website ya Wizara ya Utalii.

Kwahiyo nafikiri website ya Taifa ndio ingekuwa ni summary ya websites zote za Wizara na ofisi za serikali kwa ujumla badala yake inakuwa na virus na data za kizushizushi
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…