Thebrighterfuture
Member
- Mar 21, 2021
- 10
- 11
Ndugu wapendwa, hongereni kwa jukumu la kujenga taifa.
Nimekuja hapa na kazi iliyokamilika, anaetaka tupige kazi unakaribishwa.
Nimetengeneza website ya utalii, ambayo itawasaidia watu wa kawaida wenye uzoefu na mambo ya utalii, pamoja na mawakala, wenye makampuni ama wasio na makumpuni kunufaika na fursa hii.
Wewe kama wakala mwenye kampuni uwe na website/tovuti ama usiwe nayo. Unauwezo mkubwa wa kujiunga na website yetu, na ukaweka packages zako, watalii dunia nzima wakaona.
Na wewe kama kijina mwenzangu ama mzee mwenzangu, unauwezo wa kujiuza kwenye tovuti yetu ili wale watalii ambao wanapenda kudeal na watu wa kawaida na sio makampuni watakuta hapo.
Gharama zetu ni 20, 000 tsh tu kwa mwaka, kujiunga. Kisha utakua na uwezo wa kuona watalii tofauti tofauti duniani.
Kitu kingine kizuri una kwa wale ambao wanataka part time job, hii kitu sio ya kukosa. Kwa maana unakua unafanya kazi zako za kawaida then, ukiwa kwenye website na ukampata mtalii nyie ndo mtaelewana kupitia website.
Na pia kama wewe ni mtu mzuri kwenye mambo ya promotions ama matangazo una uweza wa kushare link ambayo ukijinga utapewa moja kwa moja na kila atakae kua mmoja wa familia yetu ya tovuti yetu utapokea asilimia ya kamision.
Kama umenielewa njoo inbox tuyajenge.
Mwisho: “When opportunity presents itself, don't be afraid to go after it.”