Waungwana, naomba anaeifahamu website ya wizara ya viwanda na biashara Tanzania anisaidie as ninahitaji info ambazo nadhani naweza kuzipata huko, nimegoogle sijaipata.
Please help.
cheki hapa kuna wizara zote za tanzania ila some websites hazifanyi kazi,Usalama wa serikali na mh.JK nadhani mnawajua watu wahusika na hizi websites The Tanzania National Website