Website za biashara na mauzo ya maudhui (ingiza kipato)

Website za biashara na mauzo ya maudhui (ingiza kipato)

Brightburn

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2020
Posts
348
Reaction score
688
1. Website ya biashara/kampuni: Tsh 370,000
-Inakuwa tayari ndani ya wiki mbili.
  • Free domain name (.com .org .co .io)
  • 10 Business emails (mfano: info @ biasharayako . com)
  • Free SSL certificate
  • Up to 50GB storage
  • Unlimited bandwith
  • Up to 3 subdomains: mfano 👇
    • Domain: www . biasharayako . com
    • Subdomain. www . huduma. biasharayako . com
  • Free design for 1 subdomain

2. Website ya mauzo: Tsh 850,000
  • Inaweza kuwa ya kuuza vitabu, movies, nk.
  • Inakuwa tayari ndani ya wiki tatu.
  • Free domain name (.com .org .co .io)
  • Unlimited business emails
  • Free SSL certificate
  • Up to 100 GB storage
  • Unlimited bandwith
  • Up to 5 subdomains
  • Free design for 1 subdomain

Tafadhali zingatia;
Gharama ya website hizo ni hosting ya mwaka mmoja + matengenezo, na maboresho ni bure kwa kipindi hicho cha mwaka mzima. Baada ya mwaka mmoja, kwa website ya biashara/kampuni utalipia hosting Tsh 120,000 kwa mwaka, na website ya mauzo utalipia Tsh 250,000 kwa mwaka (hakutokuwa na gharama za matengenezo tena).

Website inatambulisha biashara yako na kuipa thamani zaidi, karibu tukutengenezee website nzuri kwaajili ya biashara yako au kampuni. Lakini pia kwa website ya mauzo ya vitabu, hadithi, muziki, sinema, nk utaweza kujiingizia kipato kizuri sana ikiwa utaitangaza vyema na kuweka maudhui mapya mara kwa mara! Hakikisha tu unafata sheria za maudhui unayoweka ili usipate usumbufu wowote hapo baadae.

Wasiliana nami;
0692987122
 
Back
Top Bottom