Habari kuruta, hivi hizi tovuti za serikali au zozote zile za hapa nchini zinatengenezwa na nani? Seva zake zipo wapi? Mbona zimejaa madudu! Plus zipo slow sana kuLOAD na mambo mengine.
Karibia tovuti zote zina ugo jwa unaofanana mfano hata tovuti za vyombo vya Dola, polisi, Zimamoto n.k ukiCLICK hazifunguki yaani zipo idle TU.