tzhosts
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 403
- 510
Zipo website tatu;
Kila moja inauzwa shilingi 155,000 ziko hosted kwenye wordpress cms.Unapata na emails za tano.
Website ni za utalii na zina umri wa zaidi ya miaka 3.
Ukinunua website hizi utapata punguzo la 20% na iwapo wamiliki wa website hizi watataka kuzigomboa basi watakuongezea 20% ikipita miezi mitatu hawajazigomboa utakuwa na uwezo wa kupanga BEI ya kuwauzia au kutokuwauzia kabisa.
Vile vile zipo unique website ideas ambazo nazo zinauzwa kwa gharama nafuu katika maeneo yafuatayo:
Vile vile unaweza kujipatia website kwa gharama nafuu kutoka kwetu kwa kuwasiliana nasi kwa email:
info@tzhosts.com

- Online learning school ambayo iko inatafutiwa accreditation na NACTE kwa ajili ya kutoa mafunzo ya online
- ONline Business management portal
- Tour and Travel companies