hehehe bado tupo tupo kwanzaaa nakusupport musee!!!ila da prob yetu ni kuwa tukiwa tupo tupo kwanza twawapanga foleni wengiii halafu siku ukiamua kuachana na ile timu ya ukapera ndo mambo kama hayooooo uibuka,ama ikipita kimya kimya,mkikaa kidogo tuu waanza kukumbushia nje