Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Hii harusi sijui itakuwaje
Itakuwa bab kubwa na ya kifahari kama yangu na badiebey itakavyokuwa
Hii harusi sijui itakuwaje
Usijali muda ukifika nitamwambia badiebey akupatie
itakuwa classic na kabla ya miaka mitano watabwagana...kivumacho hakidumu
nilitaka niliseme hili pale mwanzoni ila nikaamua kuuchuna tu
nilitaka niliseme hili pale mwanzoni ila nikaamua kuuchuna tu
Usijali muda ukifika nitamwambia badiebey akupatie