Yaani kama mie ndio ananionaga "shetwani" kweli maana nikianza kunywa akianzisha maneno yake, na mjibu kwa ufupi kuwa "imani yangu ya kanisa katoliki inaruhusu kunywa dada"
Viongozi wapo na anabanwa afate taratibu, hapo ndio inakuwa "kanyabazongo" anaona kama vile hapewi stahili yake!!Sasa inakuwaje mnashindwa kumuweka kwenye mstari? hamna uongozi wa kikundi? mambo kama hayo ndo kiongozi anachukua nafasi yake kuwaweka members wote kwenye mstari mmoja.. na ndiyo maana miongozo na taratibu zimewekwa.. vikundi vinatakiwa kuwa vyombo vya kutatua kero mbalimbali, siyo kuleteana makwazo.. tatizo ni kuwa huyo mama mchungaji keshazoea hayo maisha.. na kama kawa mama mchungaji kwa miaka mingi tayari anaona kila mahali anatakiwa kuchukuliwa hivyo hivyo.. na wale wamezoea kupewa siyo kutoa.. sasa kazi kwenu
hahahahahaahaahha, ni kweli Ijumaa kama hii najiandaa tu nikitoka kwenye hiki kibarua cha Magufuli nikatoe lock hahahahaha.ahhahaha nakukumbuakag kwenye uzi mmoja uliambiwa sijui unywe dawa za minyooo ulidai maziwa yanawasha hahaha ukauliza ukinywa hizo dawa je utaweza kupombeka?? jaman nilichekaaaaaaaaaaa
hhahahah, anadeka kweli hahahahahahah.Tumechoka nao cheo cha Kanisa unaleta mtaani !#
hahahahahaahaahha, ni kweli Ijumaa kama hii najiandaa tu nikitoka kwenye hiki kibarua cha Magufuli nikatoe lock hahahahaha.
hahahha, maneno hayooooo!ahhaha jipe raha !wakati ndo nhuu shost !utakuja kuukumbuka muda ushakupita !safi jiachie mamy
Sasa kwa nini msimtose katika kikundi chenu, maana inaonekana hana mchango wowote...Hapana "Dr." watu8 ni kweli kabisa aisee!!!
hahahaha, anaona ni dhambi kunywa pombe hahahahaaha.Hiyo ya kuagiza ka heinken anamind imeniuma huyo mama mchungaji vipiii ni hela yake kwani
Mmmmmh! ni ngumu kumtoaSasa kwa nini msimtose katika kikundi chenu, maana inaonekana hana mchango wowote...
πππππahhaha jipe raha !wakati ndo nhuu shost !utakuja kuukumbuka muda ushakupita !safi jiachie mamy
Komesha yake ni kumchukua baba mchungaji tu wanawake wa ivo wanakuwaga na vilanga na midomo mrefu km michongoma siwezagi kuwa nao karibu kabisa
Lile bandiko sikulielewa ndo maana hata sikucomment maana niliiona talaka ya fasta hahahahahahahahahha wewe jana mumeo katoka kutufunda tusishauriane mabaya wanawake tulioolewa !km unakojoaga wewe usimwambie Neybright maana utampa kiraruraru cha kutaka amtafute men anayejua kukojoza !we naye unakuja sema abwebwe mchungaji hahahah my ribs!
teh teh teh !zikanyenyekewe huko huko makanisani kwaoLile bandiko sikulielewa ndo maana hata sikucomment maana niliiona talaka ya fasta hahahahahaha
Ke za hivi zinapendaga kupigiwa magoti kitu ambacho sikiwezagi mimi
ahaaaa shosti wetu huyu yupo mwanza ukimuitia bia dar anakuja ahahaaaahhahaha nakukumbuakag kwenye uzi mmoja uliambiwa sijui unywe dawa za minyooo ulidai maziwa yanawasha hahaha ukauliza ukinywa hizo dawa je utaweza kupombeka?? jaman nilichekaaaaaaaaaaa
si mumfukuze? anamind mtu kuagiza cha baridi.je mkianza kusifia utamu wa dushe atasemaje?hahahaha, anaona ni dhambi kunywa pombe hahahahaaha.
ahaaaa shosti wetu huyu yupo mwanza ukimuitia bia dar anakuja ahahaaa
hahahahahaahahahahahah, labda kwenye dushele anaweza kuchangia si unajua hilo kila mtu anapenda hhahahahaahahsi mumfukuze? anamind mtu kuagiza cha baridi.je mkianza kusifia utamu wa dushe atasemaje?