Wee mchungaji acha kutukera wenzio

ahahahhahahahahaha aisee yupo km my friend jaman !akifika counter anaazan tetemeka kila kitu anahamu nacho !haaaaaaaaaaaaaa anazisakanya nyagi hutaamini !dah raha sana !
ila mashost wanywa pombe wana roho nzuri sana.mimi sinywi pombe bahati mbaya nililogwa nashindwa kabisa .ila napenda mashosti wanywaji.walokole washamba sana na wanafiki.hawana deal zaidi ya kulalamika kukopwa papuchi na kuachwa.wanywaji wana michongo balaa
 
Komesha yake ni kumchukua baba mchungaji tu wanawake wa ivo wanakuwaga na vilanga na midomo mrefu km michongoma siwezagi kuwa nao karibu kabisa
hahahah, sasa baba mchungaji kuwa si anaweza akawa na utaratibu mgumu kwa mfano, kabla ya "kuduu" mfanye maombi kwanza kuombe tendo pendwa! hahahahhaha ila kapeace wewe ahaahah
 
Tena mnatakiwa huyo mama mchungaji mumnunulie smart phone ili naye awe anainga JF kama nyie.
 


100% huyu bidada hanaga makuu yeye km ulivyosema! yaan haon shida kukutoa out aisee !ni kweli wasokunywa huwa ipo nshida sehem !nami huwa simtupi aisee !hatutupan sema mwenzangu daily lazima atoe lock ila ni peace mbayaaaa!
duh kume hunywag? safi ! mie nastua stua ila nipo fit tu sema sitak ziniendeshe !ila nikiamua ah chupa la dompo nalifuta freshhhhhhhhhhyyy,,nw nimehamia kwenye 'desperado' very tastey !jaribu sku 1 !nimeacha smirnof blak ice nimemwachia Maserati
 
Kunywa pombe na kukaa kwenye pombe raha sana! kwa mfano jana, nilikuwa mahali "nanyonya vtu" sasa kukatokea kituko kama sio sinema.
Kuna THE DON mmoja anafanyia kiwanda cha samaki, sasa kwenye hiyo hoteli tulipokuwa na yeye alikuwepo na marafiki zake, alikuwa amemuandalia sherehe ya kuzaliwa mchepuko wake, ile sherehe inaanza tu hivi, ukatokea tena mchepuko wake mwingine kumbe amepata taarifa kuwa kuna mtu anafanyiwa sherehe, looooh! ilikuwa kasha kasha sherehe ilikuwa karaha, nilicheka sana kuona michepuko inapigana hotelini tena hadharani! Yule baba kuona hivyo yeye na wenzake wakapanda magari yao wakaondoka, hahahha. sio siri pombe na kukaa kwenye pombe raha sana
 
mi kunywa siwezi nililogwa shosti wangu.kuna bibi jirani aliniloga nisinywe pombe.nishafundishwa hadi basi haipiti
 
ahaaaaa mimi nilipokuwa mdogo kuna bibi jirani aliniomba nikamnunulie pombe nikakataa eti akaniloga nisinywe pombe maisha yangu yote aaaah
 

Hivi ilikuwaje mpaka mkawa na Msabato kwenye kikundi chenu?, kweli mna moyo mgumu sana, hao wanajuana wao kwa kwao tu, unless mumpate Msabato mwenye uelewa na uwezo wa kuwakubali na kuwavumilia wenzie,
 


ahahhahaha huyo ndo NAHUJA !jana kuna jirani yangu akanijia kwangu saa 1 akasema yupo bored twende tukanywe pombe !hhaha nilijikuta nashangaa whaaat !akasema yes twende turud 5usk !wote hom tulicheka ! hahah mna raha mnaotafuta furaha!ila ukiolewa ndo ntolee shogaa !enjoy to the max!
 
ahaaaa kitimoto nimeacha nilipata mchepuko wa kiislam shoga niliswalishwaje? ahaaa kitimoto sio nzuri kiivo wala sili tena najisi ile

ahhaaha nguvu ya mapenzi ndo naiona hapo lol !safi sana yeah kitimoto ina magonjwa meng sana aisee alfu lilivyo tu uwiiii !linavolia sasa kroooooooooooo krooooooooooo eish ! so bado upo na muislam !? sipatii picha upate vergan utaacha kula nyama??
 
ahhaaha nguvu ya mapenzi ndo naiona hapo lol !safi sana yeah kitimoto ina magonjwa meng sana aisee alfu lilivyo tu uwiiii !linavolia sasa kroooooooooooo krooooooooooo eish ! so bado upo na muislam !? sipatii picha upate vergan utaacha kula nyama??
tulishaachana yule aaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…