Wee mchungaji acha kutukera wenzio

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umejuaje kama aligonga kavu????
sasa kama ni hapo hapo ofisini anasema alikuwa anapanga mafaili mara eti bosi akamtokea sasa hapo ni saa ngapi waliandaa zana? hahhahahaha
 
Utakuwa ulienjoy sana na huo mchepuko wa kiislamu, maana wanaume wa dini ya kiislamu wanajua sana MAHABA na MAPENZI wako vizuri anakupa penzi hadi unaona kama dunia inaangalia chini juu
Mh
 
Kunywa na Robertson iko vizuri hahahaahahhah

shost hyo sasa 'zarau' ninywe robertson? hahahaha !maji yale aku !labda km siku hyo nina' friendly match' !azawaiz 'siipend kivile haileweshi inalegeza tu!
 
aisee cha laki moja! kina bundle la MB za mwezi mzima au ni kiatu tu! hahahahaha hongera sana rafiki yangu
ahaaaa ni cha ukweli yaani nilifunga ukumbi.unajua kitu kinaitwa new look wewe? yaani kiatu kweli shogaa.kiatu kiatu directly toka kiwandani ulaya huko
 
ahaaaa ni cha ukweli yaani nilifunga ukumbi.unajua kitu kinaitwa new look wewe? yaani kiatu kweli shogaa.kiatu kiatu directly toka kiwandani ulaya huko
Aisee safi sana! hebu ki kong'oli picha unitumie PM
 
Utakuwa ulienjoy sana na huo mchepuko wa kiislamu, maana wanaume wa dini ya kiislamu wanajua sana MAHABA na MAPENZI wako vizuri anakupa penzi hadi unaona kama dunia inaangalia chini juu

Wee sema ukweli NAHUJA niingie CHIMBO?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…