Wee mchungaji acha kutukera wenzio

Ni mama mchungaji wa mtaa gani ili niwasiliane na viongozi wa conference yake maana umesema ni wa SDA?
 
Yeye anataka tumchukulie na kumpa "heshima" kama anayopewa na waumini kule kanisani kwao, hahahhahaha
Mwelezeni hapo siyo mahali pake. Hata kwenye daladala anavaa beji kila MTU amtambue kama mama mchungaji? Kama siyo mwambieni na hapo siyo kanisani. Kama MNA nidhamu ya woga kubalini matokeo.
 
Usifananishe tabia binafsi na dini ya mtu! Hakuna mafundisho ya SDA yanayomtuma uyo "mchungaji" afanye hayo kulingana na maelezo yako[emoji4][emoji4][emoji4]
 
Mwelezeni hapo siyo mahali pake. Hata kwenye daladala anavaa beji kila MTU amtambue kama mama mchungaji? Kama siyo mwambieni na hapo siyo kanisani. Kama MNA nidhamu ya woga kubalini matokeo.
hahaha, ni kweli umesema kweli Ruge tunanidhamu ya woga,hahahahaha
 
Usifananishe tabia binafsi na dini ya mtu! Hakuna mafundisho ya SDA yanayomtuma uyo "mchungaji" afanye hayo kulingana na maelezo yako[emoji4][emoji4][emoji4]
sawa mkuu palangana
 
Ukishakubali kuchungwa na mchungaji unatakiwa uwe kondoomwema usikilize anachosema Mama Mchungaji.

Ndiyo maana wengine tulishakataa kabisa upuuzi huu wa kuchungwa kama wanyama wasio na maarifa.
sasa wee una abudia wapi kaka Al-Watan?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…