Week end Special

From her posts... hii ndio nimepata toka kwa NK...

  • She is strong willed and knows exactly what she wants...
  • She is married and proud of her husband BIG TIME...
  • She is educated and furthering her education...
  • She is one of the most logical headed married woman i have come accross...
  • She has educated parents who nurtured her from childhood kama a person who should know what she wants no matter she is a woman..
  • Comments zake thou drawn from real life experiences... napenda her logic - i am always in agreement with her... Nimewahi pishana nae only in one area and that was to tell your partner you love them every time...
 
Offu topik: dah cookie kanipa za uso kwa JF rules halaf kafunga topik, skujua yuko serious kivile! Aisee sinyatii tena mamods ,nashkuru hakunilamba ban

Utakuwa umechemsha sehemu wewe kwa sababu mimi na yeye tuko poa sana. Tena kuna siku alisema ananipenda.
 
nakuelewa

ndo maana nikasema how old is she?
na yuko ndoani kwa mda gani????/

kesho na keshokutwa akija na msimamo mwingine tofauti na huu unaopenda wewe

utafanyaje?
 
Utakuwa umechemsha sehemu wewe kwa sababu mimi na yeye tuko poa sana. Tena kuna siku alisema ananipenda.
Dah! acha nizinguane na hawa hawa kina husninyo na Lizzy tu bana, nisije nikalambwa server ban nikaishia forum ya malaria sugu
 
Dah! acha nizinguane na hawa hawa kina husninyo na Lizzy tu bana, nisije nikalambwa server ban nikaishia forum ya malaria sugu
<br />
<br />
pole sana. Mi mwenyewe nakupa makonzi ya mbavu zaidi ya coockie. Najiandaa kuchukua umod.lol
 
kesho na keshokutwa akija na msimamo mwingine tofauti na huu unaopenda wewe

utafanyaje?

Nitauliza kulikoni, mbona sasa umebadili msimamo/ mawazo yako? Na natumaini atakuwa na maelezo ya kwa nini imekuwa hivyo.

Watu huwaga hawabadili tu misimamo hivi hivi. Lazima kunakuwaga na sababu.

Sasa akitoa maelezo huenda nikamuelewa au huenda nisimuelewe. Lakini nijuacho ni kuwa kama yalivyo mambo mengine na sisi binadamu hubadilika pia. Tunabadilika kimaoni, kimisimamo, kimuonekano, kiimani, na kadhalika.

Kwa mfano, mimi sibishi kama mungu yupo na wala sikubali kama yupo. Lakini usije kushangaa hapo baadae nikachukua msimamo wa kuamini au kutokuamini kabisa. Hii ikitokea lazima nitakuwa na sababu ya kufanya hivyo.

Wewe hujawahi kubadili msimamo au maoni maishani mwako?
 
in that case napenda misimamo yake for now
but sitashangaa akibadilika
 
<br />
<br />
pole sana. Mi mwenyewe nakupa makonzi ya mbavu zaidi ya coockie. Najiandaa kuchukua umod.lol
Kwa leo kwanza hata wewe nakuogopa! dah! skujua kama warning inashtua kiasi hiki khaaa! naomba leo niwaheshimu memba wote na sredi zote.

njoo uniliwaze basi

Turudini kwenye mada wajameni
 
in that case napenda misimamo yake for now
but sitashangaa akibadilika

Boss in her case... ni vigumu saana... I think akibadilika (tokana na driving forces) more ni kwamba aweza pumzika but not change Jamvini....
 
Hapo sasa tupo pamoko!

nn
mimi nafikiri wewe ukiwa ni mwanaume
na unapenda misimamo ya nyumba kubwa
basi ungepaswa kujiuliza,
je mumewe amechangia vipi mpaka yeye amekuwa na misimamo hiyo
huoni hapo kuna kitu useful?
mimi hapo ndo napotamani kujua....
 
Boss in her case... ni vigumu saana... I think akibadilika (tokana na driving forces) more ni kwamba aweza pumzika but not change Jamvini....

asha d
labda nikuulize wewe swali
unafahamu menopause?
na nini kinatokea after menopause kwa mwanamke?
midlife crisis je???????

mambo mengine yapo so deep kuliko unavyoona...
ndo maana niliuliza,how old is she?ndoa iko mda gani?
 
If anything Menopause mara nyingi hufanya a woman kua withdrawn in most cases tokana na hizo effects zake... na hapo nilipoongea kua ni vigumu kwakw ku change... niliongea in relation with what NN is implying... As much as mambo mengine yapo deep i can not imagine her flaunting her changed msimamo... She is too logical for that...
 
nn
mimi nafikiri wewe ukiwa ni mwanaume
na unapenda misimamo ya nyumba kubwa
basi ungepaswa kujiuliza,
je mumewe amechangia vipi mpaka yeye amekuwa na misimamo hiyo
huoni hapo kuna kitu useful?
mimi hapo ndo napotamani kujua....

Kwa nini awe mumewe tu ndo awe na mchango? Kwa nini isiwe mama yake, baba yake, dini yake, rafiki zake, au experiences zake za maisha na kadhalika?

Mimi ningependa kujua kwa ujumla ni nini kinachomfanya awe na misimamo kama hiyo.

Inabidi uwe mtu wa kina sana katika kujadili na kufikiria haya mambo....
 
Kwa nini awe mumewe tu ndo awe na mchango? Kwa nini isiwe mama yake, baba yake, dini yake, rafiki zake, au experiences zake za maisha na kadhalika?

Mimi ningependa kujua kwa ujumla ni nini kinachomfanya awe na misimimamo kama hiyo.

hao wote na hivyo vyote vimechangia but mumewe probably ndo zaidi
in most cases
 
hao wote na hivyo vyote vimechangia but mumewe probably ndo zaidi
in most cases

What makes you think mumewe ndo zaidi? Kwa sababu inawezekana kabisa alikuwa yuko hivyo hivyo alivyo sasa hata kabla hajakutana na mumewe.....
 
Who told you that I have a perfect marriage. Ndoa yangu ni ya kawaida. Ni kama za watu wengine. Nina miaka minane kwenye ndoa and am 35 years old. Mume wangu ni mpole na msikivu sana ila alishawahi kuni cheat while was pregnant na kipindi hicho ndoa ilikuwa na miaka sita. Ila ambacho naweza kujisifia ni kuwa najiheshimu sana na kazi yangu inanifanya wakati mwingine nilazimike kujiheshimu zaidi. Ila si kazi tu nakumbuka hata wakati niko college vijana walikuwa wananiogopa sana wanasema niko very serious. Aah. Afu nilikuwa nashika namba class. Si unajua wanaume hawapendi wanawake wanaojiamini na walio kind of powerful. Hiyo imenisaidia kuwa wachafuzi walikuwa wanacheza mbali na mimi na walionitokea walikuwa real serious including my hubby.

Hapo kwenye red. . Mimi naamini ndoa nyingi zina mapungufu lakini haina maana kuwa love inakwisha. Kinachopungua ni kasi ya mambo mliyokuwa mnafanya lakini penzi linaendelea kuwepo.

hao wote na hivyo vyote vimechangia but mumewe probably ndo zaidi
in most cases .

Hope you don't mind me saying this... BUT i think imetosha jamani, it is not fair to discuss her more...

@ The Boss....

NK ndio alivo... hata kama it is because of the husband.. it means she is a good person and an appreciative woman... Wanawake wangapi wana good, in fact Great husbands but they do not thamini ndoa zao kama yeye wala kua na msimamo mkali?? Ni weengi, i think usiiegemee saana kutaka kumdefine tokana na the hubby...
 
in that case umejibu swali langu
mark my words you aint seen nothin yet.....

at 35 still kuna mengi mno huko mbele......

siku moja utajishangaa wewe mwenyewe.....like did i do that....?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…