Week end Special

Kwa hiyo kumbe uko hivyo hata kabla hujaolewa! Basi Boss keshapata jibu lake hapo, natumaini.
 
in that case umejibu swali langu
mark my words you aint seen nothin yet.....

at 35 still kuna mengi mno huko mbele......

siku moja utajishangaa wewe mwenyewe.....like did i do that....?

wanasemaga life starts after 40, mimi bana ndoa za leo siziamini mpaka nione mmoja kazikwa, kuna vizee vya 50 majuzi nimeshuhudia vinatimuana, kizee kizungu cha kike kilikuwa kina mahusiano na kijana wa 20's black.
 
Nakumbuka mwaka jana ile au sijui mwaka juzi kuna mke wa waziri mkuu wa Ireland (kama sijakosea) alimegwa na janki na likawa bonge la kashfa.
 
yep spot on! ilitokeaga Belfast junkie alikuwa anajimegea na hela za matumizi anapatiwa na marupurupu kibao, lilikuwa bonge la kashfa lakini si unajua wazungu ni mabwege tu
 
Acheni kunitisha. Eeh. Inawezekana ndoa yangu isidumu milele lakini turning into shuga mummy sijuhi nini ni unthinkable. I have a lot of things to do than hunting for men at this age.

Nakumbuka mwaka jana ile au sijui mwaka juzi kuna mke wa waziri mkuu wa Ireland (kama sijakosea) alimegwa na janki na likawa bonge la kashfa.
 
huwa yananitokea mnoooooooo, ila huwa nachukulia hali ya kawaida,
huwa najichukulia kama natamani mali za watu na huwa najitahidi sana kujizuia maana huwa wa kwangu kutamaniwa inaniuma sana.
sipendi kumfanyia mtu kitu ambacho mi sipendi kufanyiwa
 
kloro thanxs kwa kutukumbusha usemi huo

LIFE START AT FORTY....

Filosofi ipo kwamba unapofika 40 unaanza kujiskia unamiss ujana na unataka either kufanya what u didnt do au at least to replay what u enjoyed the most ulipokuwa kijana. Na balaa huanzia hapo
 
huwa yananitokea mnoooooooo, ila huwa nachukulia hali ya kawaida,
huwa najichukulia kama natamani mali za watu na huwa najitahidi sana kujizuia maana huwa wa kwangu kutamaniwa inaniuma sana.
sipendi kumfanyia mtu kitu ambacho mi sipendi kufanyiwa

Hio statement in blue umequote... kwanini kila anaegusia anagusia kwa mtu ambae yupo committed... Haya FB niambie what if you are free??
 
Filosofi ipo kwamba unapofika 40 unaanza kujiskia unamiss ujana na unataka either kufanya what u didnt do au at least to replay what u enjoyed the most ulipokuwa kijana. Na balaa huanzia hapo

Midlife crisis... uko forty with a family of five unaenda kununua gari aina ya sports car... na you are just a middle class citizen...
 
Si mpaka uwe na hizo CD za ku replay. Hapo ndio watu usema tabia ujirudia.
Filosofi ipo kwamba unapofika 40 unaanza kujiskia unamiss ujana na unataka either kufanya what u didnt do au at least to replay what u enjoyed the most ulipokuwa kijana. Na balaa huanzia hapo
 
Midlife crisis... uko forty with a family of five unaenda kununua gari aina ya sports car... na you are just a middle class citizen...

mbona hiyo cha mtoto..
wamama inawatokea anafika sehemu anaona kumbe maisha yoote ame sacrifice
kwa jitu lisilo na shukrani.kama amepoteza ujana kwa the wrong person...
unaweza imagin what next....
 
You just turn yourself into a workaholic
mbona hiyo cha mtoto..
wamama inawatokea anafika sehemu anaona kumbe maisha yoote ame sacrifice
kwa jitu lisilo na shukrani.kama amepoteza ujana kwa the wrong person...
unaweza imagin what next....
 
Midlife crisis... uko forty with a family of five unaenda kununua gari aina ya sports car... na you are just a middle class citizen...

Unakuta kabibi kana 50 kanavaa kimini halaf kanakulembulia macho, halaf ukikiamkia "shkamoo" kanaitikia "poa tu", tumataftiana ubaya tu
 
mbona hiyo cha mtoto..
wamama inawatokea anafika sehemu anaona kumbe maisha yoote ame sacrifice
kwa jitu lisilo na shukrani.kama amepoteza ujana kwa the wrong person...
unaweza imagin what next....

Gosh! I love married life... BUT i love my life more... Nikiona kwamba mwanaume hana muelekeo hata nijitahidi vipi... kwa ufundi, utundu ama yoote yanayostahili mie mke nifanye na bado akani treat kama tu kijakazi. or continuously mistreat me.. I let go... For there is no turning back and my life is my life... Sitaki kabisa nifike forty niseme i could have lived... Nataka nifike Forty nisema I have lived....
 
Unakuta kabibi kana 50 kanavaa kimini halaf kanakulembulia macho, halaf ukikiamkia "shkamoo" kanaitikia "poa tu", tumataftiana ubaya tu

Mie ndo maana nakula maisha sasa... Married or not... a mom/wife or not! Nataka nafika late thirties nakua preserved and live my age let alone at 50 ambapo nahisi nitakua na mjukuu (Mungu akijalia) for fortunately niliwahi kuzaa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…