Week end Special

To me cheating si kipimo kuwa hubby hanipendi. Ila najua kuwa ni hatari kwa sababu ya magonjwa. Nazungumzie wanaume wasio na upendo kwa wake zao ambao wanaweza kuwa cheaters on top of ukorofi mwingine.

What do u see! funguka mama! sredi nimeachiwa mimi niisimamie

Ndo maana naona karibu linaacha njia...
nifunguke kwa maana kwamba nitoe road blocks niruhusu strangers ila tu niwe mwangalaifu si ndio....?
Kloro mi hamna nafasi tena bana, nimeigawa/imechukuliwa.
Nimependa udadavuzi wa NN kwenye uk #1.

Btw: painkiller ame'like' post yangu mojawapo. Nasubiria ya Cookie.....

The Boss kwa hiyo unataka kusema kuna hatari ya kuja kuwa Tina Turner kama tutakosa kufanya mambo fulani kwenye umri fulani eeh?

To me cheating si kipimo kuwa hubby hanipendi. Ila najua kuwa ni hatari kwa sababu ya magonjwa. Nazungumzie wanaume wasio na upendo kwa wake zao ambao wanaweza kuwa cheaters on top of ukorofi mwingine.
what a 5 star point! wanawake wote wangeelewa hiyo red , neno divorce lingefutwa kwenye dikshineri

Khaaa! yaani laivu??? haukujali hata kama huyo stranger akisoma hii post anaweza akajinyonga???

Khaaa! yaani laivu??? haukujali hata kama huyo stranger akisoma hii post anaweza akajinyonga???

Una tetesi kuna stranger alikua ananimendea?
Mwambie imekula na kulala kwake huyoo!
Akijinyonga uniambie najua kutakua na mnuso

To me cheating si kipimo kuwa hubby hanipendi. Ila najua kuwa ni hatari kwa sababu ya magonjwa. Nazungumzie wanaume wasio na upendo kwa wake zao ambao wanaweza kuwa cheaters on top of ukorofi mwingine.

Exactly... nakumbuka tuliizungumzia hii last week... kua mtu (hasa a guy kulala na mwingine) haimaanishi kua hampendi alonae.... Sasa why bother kumuuliza?? lol

kwako NK, hivi kama nampenda wangu kwa dhati, ntafanya jambo ambalo dhahiri najua akiligundua litamuumiza?

Una tetesi kuna stranger alikua ananimendea?
Mwambie imekula na kulala kwake huyoo!
Akijinyonga uniambie najua kutakua na mnuso

Dah! acha nilog out nikampatie salam zake!
sasa bht sredi nakukabizi wewe, kutukana kwa kiingereza inaruhusiwa lakini atakaetukana kwa kiswahili mripoti kwa mod Ashadii

Exactly... nakumbuka tuliizungumzia hii last week... kua mtu (hasa a guy kulala na mwingine) haimaanishi kua hampendi alonae.... Sasa why bother kumuuliza?? lol

Asha Dii.... Sijui nisemeje! Are you kinda consenting this? Kama ndo hivo basi acha tu wananume wetu wachiti so long as si kwamba hawatupendi ni hamu tu wanapunguza au wameanguka majaribuni and its just owkey!

Dah! acha nilog out nikampatie salam zake!

sasa bht sredi nakukabizi wewe, kutukana kwa kiingereza inaruhusiwa lakini atakaetukana kwa kiswahili mripoti kwa mod Ashadii

Akuu mwachie Asha aisee...mi staki! Kama mambo yenyewe ndo kuwahalalishia nyie kututenda, mi naondoka sitaki presha za kushuka.

You got me wrong Asha. Mimi nina wivu wa kuua mtu. Kuuliza na kupeleleza kuko pale pale kwani sipendi kuchangia japo najua bado napendwa.
Exactly... nakumbuka tuliizungumzia hii last week... kua mtu (hasa a guy kulala na mwingine) haimaanishi kua hampendi alonae.... Sasa why bother kumuuliza?? lol

For sure you will join me in my kingdom of educated blackmen (EBM s).
Kweli umeeleza vyema.

Message sent is delivered

You got me wrong Asha. Mimi nina wivu wa kuua mtu. Kuuliza na kupeleleza kuko pale pale kwani sipendi kuchangia japo najua bado napendwa.

ha ha ha.... Kuadmit hilo NK simaanishi kua nachekea.... Wala siwezi dhubutu nikasema na akasikia... Mie daima niko possessive pia... For when i Love.... I Love intensively... But kuna mambo ambayo hufanyika katika ndoa ambayo huhitaji busara ya hali ya juu kuweza maintain the marriage.... Na Nyumba Kubwa I am PROUD na Msimamo wako na PRIDE yako katika Ndoa yako... Mungu akubariki saana wewe, Mumeo, familia na NDOA in general...

Thanks Asha. Ubarikiwe pia.

Nafikiri kinachomsaidia ni hii personality yake :She is choleric:these people are always influecial

Ashadii naomba nikukabidhi thread yangu nikirudi naomba nipate majibu niyatakayo .
asende....

Shantel nafikiri mpaka hapa tumefika... Jibu utapata in between posts na hivo kukamilisha ombi lako.... Be good dear... Sasa napumzika....

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…