Goodluck Mchika
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 1,228
- 1,138
Mkuu ni kweli kabisa usemayoPamoja na wapingaji kuwa Epl si bora lakin ni waz ligi hii ni bora kwa utafit
Wangu hapa kitaa wengi wanaona jmosi na jpili zimekuwa ndefu sna kipindi hiki
Cha mapumnziko vipi hali kwenu.....
Mkuu ni kweli kabisa usemayo
Mkuu ile kitu ni balaa ni zaidi ya burudaniSwa mkuu yaan km mimi naona upweke kabisa nahisi namis kitu ktk maisha
Nashangaa hao wanaoipinga wakat wamenunua dstv au wanalipia banda la video na mabandoMkuu ile kitu ni balaa ni zaidi ya burudani
Nashangaa hao wanaoipinga wakat wamenunua dstv au wanalipia banda la video na mabandoMkuu ile kitu ni balaa ni zaidi ya burudani
Sijui bila hobi na mpira ningeishi vipi