Weekend good times.....for a lady...

Weekend good times.....for a lady...

Any interested woman
for this weekend out
for fun, pm me now..

Funguka basi mkuu, weekend wapi, mji gani, kiwanja gani, is it your treat au cost sharing? Umejiandaa na fungu kiasi gani? What type of lady do you expect? Umri unaopendelea (utapata jimama ukimbie) VIGEZO NA MASHARTI VYA HIYO OFAA? Who are u? Why would i be interested with your company? Funguka watu mishe mishe hazisomeki!!!!!!!!!!!!! KAMA NI KUSPEND WEEKEND DUBAI AU HATA ZANZIBAR NITUMBUKIE MZIMA MZIMA!!!!!!!!!! LOL! YE soya, cielo, Lucy Godfrey njooni huku kijana mwenye mipesa yake mpweke hukuuuu!
 
Last edited by a moderator:
1 .all expenses on me
2 zanzibar or any place around tz
3.any woman above 18..
4.the rest info pm
 
shosti lara 1 una visa weye!huogopi kugeuziwa kibao? Problem mie niko bush kwa sasa nadhan hyo ofa yako ichangamkie bibie!
 
Last edited by a moderator:
mie niko ubungo, nataka twende Zenji, ntajilipia bird kwenda na kurudi.
Nakuja PM
 
Back
Top Bottom