ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Hili game la wanasiasa ni kama kamchezo fulani cha kuumia roho tu. wao wapo kwenye movie sisi mashabiki tunaumia huku.mwisho wa siku utaweza kuchangachikiwa maisha yenyewe mafupi haya Hadi weekend nianze kuumia nafsi kwanini mpaka nikose amani moyoni niache kula safari kubwa au kilimanjaro.me nakubali Magufuli kafanya mazuri kadhaa ila sijaridhika kutawaliwa mara mbili kwa hiyo kura yangu ipo kwa lissu ndugu yangu.
Siongei Sana nachojua tarehe ikifika kura kwa lissu ila Leo msinitanie lazima nile maisha kivyangu vyangu.ukiwaza Sana mambo mengi yatakutesa ukifikiria umaskini unavyowapa wakazi stress mitaani utalia.ukifikiria vijana wanavyozeeka bila mafanikio unaumia.kwanini maendeleo ya nchi hayagusi maisha ya watu.
Vitu vinazidi kupanda bei vifaa vya ujenzi bei iko juu, maisha wanapeana wao kwa wao tu anatoka mwinyi anambeba mwinyi mtoto tena.anakula hadija koppa anamwachia na Zuchu.