weekend hii ukiwa na mwezi wako mpe maneno haya...........have a nice wknd

Maneno mazuri ni yale yanayotoka kwa mtu mwenyewe hata kama ni mawili tu badala ya daftari zima la copy and paste!

Ni kweli kabisa Lizzy. nakumbuka birthday yangu iliyopita husband alinunua plain card na kuandika maneno yake... akaniambia hayo ndo yametoka moyoni mwake, ni maneno ambayo alitaka kuniambia kwa siku ile, hakutaka kuchukua maneno ambayo yamesemwa na mwingine.... I cried!
 

Yeah!Yanakua na maana zaidi kwasababu ni personal!
 
Hi bacha!!!
kwa nini tunapendelea maneno ya kingereza na siyo kiswahili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…