Weekend hii upo wapi na unafanya nini

Bar nakunywa bia

Huyo dada hapo kwenye avatar ni wewe?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jamani khaaaaaa
 
Nipo nyumbani nimejilaza bed nafanya kazi ya kutambaa kama nyoka. Natoka jf, naenda WhatsApp,natoka naenda normal texts then narudi jf natoka naenda insta
[emoji124]
Tunafanana nawaza niende baharini sasa nikapigwe na upepo wa bahari
 
Marafiki zako wa Ulevini Ulelewa Ulevini na hao mara nyingi ndio marafiki wa kweli ambao wanaweza kesha na wewe Central kama Nje ya Central kuna bar

Marafiki hawa wa ulevi wanaweza kesha Mochwari kwa sababu pale nje ya Hospital kuna Bar

Marafiki hawa huweza kesha kwenye msiba wako kwa sababu pale pembeni kuna Bar

Hakuna rafiki mwenye kuheshimu thamani ya Urafiki wenu kama mtu mnayekunywa naye pombe

Kama ukimpoteza rafiki mnayekunywa naye Pombe kurudi urafiki wenu ni ngumu sana Maana mara nyingi yeye siyo mnafiki

Rafiki huyu mara nyingi huwa mkweli mwepesi kujua kosa na kuomba samahani hana majivuno na Ukimtaka muda wowote atakuja

Usimdharau rafiki wa Pombe kwa sababu zozote ambazo hazina msingi na wala usikate urafiki na rafiki yako Mnywaji utakuwa umekosea for the Maximum

Rafiki huyu ni mkweli muwazi ila akificha jambo akiwa mzima atakwambia akiwa amelewa [emoji3] huyu ndio rafiki wa kweli kwako

USHAURI

Mtu asikudanganye kuachana na rafiki zako wanywaji maana anakuchonganisha na watu muhimu sana kwako

#Mdomo wenye furaha ni ule wenye pombe
 
Mm nimeingizwa mjini na **** mpya. Jana nilipewa ahadi kwamba leo tukutane sehemu niifunue kwa mara ya kwanza.

Lkn nikiwa njiani kuelekea kunako ahadi haipokei simu. Nikajipa moyo kwamba labda atapokea baadaye.

Lkn mpk sasa ni masaa 3 yamepita nimeganda eneo la ahadi sijui cha kufanya.
 
Hahahahahaa wewe si sexless
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…