Happy night friday everyone .
hivi weekend wapendwa mnafanyaga nini?
Napenda kujua marafiki huwa wanafanyaga nini weekend .
Kuna mtu kaniambia anaendaga ufukweni mf.zanzibar,bagamoyo,pangani na sehemu ambazo ataburudika how about you guys.
How about you guys .?
Muda wa kulala unaongezeka, kutembelea ndugu na jamaa mara mojamoja, kupata muda wa kutulia peke yangu sehemu tulivu isiyo na mazonge. Kuangalia movie...weekend yenyewe fupi kwanza.