Weekend ijayo kuna mechi ngapi za kimataifa kwa Mkapa?

Makolo ni wamekata tamaa wako pale kukamilisha ratiba tu.
 
Uto ndiyo wanapiga kelele maana si ndiyo kipofu kaona mwezi utasikia "nimeonaa,nimeonaaa,nimeonaaaaaaa.
 
Uto ndiyo wanapiga kelele maana si ndiyo kipofu kaona mwezi utasikia "nimeonaa,nimeonaaa,nimeonaaaaaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Big match ndio inayozungumziwa yanga vs mamelody....mwakarobo unamzungumzia ili iweje wakati tayari ameshaumaliza mwendo..matumaini ya taifa yako kwa yanga pekee simba ni inalillahi rajuun!!
 
Ukishabikia sana Simba na Yanga lazima kichwani Zinaanza kupungua

KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMERUKA KABISA,
HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....

MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.

NI VYOMBO VYA PROPAGANDA VYA SELIKALI KUWAPOTEZA WATANZANIA MABOYA.

MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…