chura kama wako!..Itoe bwana inanitisha mm chura mdogomdogo ndio yupoje
HahahaahNina kadi ya harusi double harusi inafanyika Sinza Deluxe nipo Makongo mda huu.
Kwa anaetaka tukale maji aseme.
Hii janja janja nimeigundua. [emoji2]Jamani tuambizane twende wapi Leo kutoa stress.Mimi Nina elfu saba tu hapa.
Ila uzuri nakunywa maji tu.
Kesho ukija kufunguliwa uzi wa jinsi ulivyo, usisema hatukukwambia.Mimi.
Sina ubaya wa kufunguliwa Uzi kusemwa ndo nachoshukuru hicho tuu..Kesho ukija kufunguliwa uzi wa jinsi ulivyo, usisema hatukukwambia.
Mbona sina chura mm itoe hiyo avatar bwanachura kama wako!..
[emoji23][emoji23][emoji23] inakutisha nini!?..Mbona sina chura mm itoe hiyo avatar bwana
[emoji23][emoji23][emoji23] inakutisha nini!?..
Hujaiona kichwa chote lakini!..Naiogopa bwana
Cuz what up....!Hujaiona kichwa chote lakini!..
cool Cuz!..whats up, up there!. its approaching winter is it!?.🙂Cuz what up....!
Cool cuz,...Yeah!cool Cuz!..whats up, up there!. its approaching winter is it!?.🙂