Weekend Special for Dar Jf member's only

Weekend Special for Dar Jf member's only

tete'a'tete

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2010
Posts
472
Reaction score
64
Nimefikiria haya maisha nimeona ni mafupi sana kutokana na mambo yanayotokea katika nchi yetu na katika jamii kwa ujumla ajali/ufisadi na magonjwa na mambo mengi mengi!! nimetamani sana JFs wa Dar tukutane wekeend moja kwa lengo la kufahamiana/kufurahi/tunywe/ tubadilishane mawazo mawil matatu/na ikiwezekana tupate kudance na kuchangamsha miili yetu/sasa wana Jf hili swala mnalionaje?? mie nipo Dar... hili ni wazo langu tuu...
 
tukutane Buguruni KIMBOKA, kuanzia saa 3 usiku kesho!
 
Inabidi tutafute kiwanja kimoja jamani....kama ni samaki samaki mlimani city tujiandae na tupeane muda....
 
tukutane Buguruni KIMBOKA, kuanzia saa 3 usiku kesho!
<br />
<br />
hapo kimboka kwa machangudoa unataka umpeleke nani,au huwa unanunu bluetooth hapo,inaelekea we ni mteja wao
 
Nimefikiria haya maisha nimeona ni mafupi sana kutokana na mambo yanayotokea katika nchi yetu na katika jamii kwa ujumla ajali/ufisadi na magonjwa na mambo mengi mengi!! nimetamani sana JFs wa Dar tukutane wekeend moja kwa lengo la kufahamiana/kufurahi/tunywe/ tubadilishane mawazo mawil matatu/na ikiwezekana tupate kudance na kuchangamsha miili yetu/sasa wana Jf hili swala mnalionaje?? mie nipo Dar... hili ni wazo langu tuu...

Wazo zuri mkuu, haswa hapo nilipopigoa mstari!!
 
Huu mtego!! Kama usalama wataifa tutajuaje.
<br />
<br />
Ha ha haaa!
Usalama wa taifa lipi?
Kazi yao ni kutafuta watu kwny starehe zao?
Wamekosa kazi ya kufanya?
Ni ajabu kuwa kuna watu still wanawaogopa watu wa idara hiyo! Wake up pal.
U r like living in the past!
 
Mimi nitakuwa kinyume na nyinyi kidogo! Jf ni sehemu ya mapambano ya ukombozi wa taifa hili tunapambana bila kutiliana shaka wala kuoneana haya!
Kitendo cha kukutana na kufahamiana kitapunguza ujasiri wa makamanda wa vita! Kumbukeni jf ndio chombo pekee cha habari chenye uwezo wa kuingia mpaka chumbani kwa mkweeree na ndiyo chanzo cha habari zote tz!
Ningeshauri twendeni twitter na facebook ndiko tufahamiane na kubanjuka! Jf ibaki kama chombo cha ukombozi tz!!
 
Back
Top Bottom