tete'a'tete
JF-Expert Member
- Feb 10, 2010
- 472
- 64
mimi nawai mlimani city

tukutane Buguruni KIMBOKA, kuanzia saa 3 usiku kesho!

Mbona watu wanakutana kila siku, it's up to you.
Ahahahahaah!! Acha uoga siku hizi hakuna usalama wa taifa!Huu mtego!! Kama usalama wataifa tutajuaje.

Mbona watu wanakutana kila siku, it's up to you.

Hana habari huyu hata sasa tumekutana
Nimefikiria haya maisha nimeona ni mafupi sana kutokana na mambo yanayotokea katika nchi yetu na katika jamii kwa ujumla ajali/ufisadi na magonjwa na mambo mengi mengi!! nimetamani sana JFs wa Dar tukutane wekeend moja kwa lengo la kufahamiana/kufurahi/tunywe/ tubadilishane mawazo mawil matatu/na ikiwezekana tupate kudance na kuchangamsha miili yetu/sasa wana Jf hili swala mnalionaje?? mie nipo Dar... hili ni wazo langu tuu...

Huu mtego!! Kama usalama wataifa tutajuaje.