Weekend Story! The Man of the People love triangle!

Jinsia ipi inaongoza kuomba unamba fulani hivii maana siku hizi pasupasu wadada na wakaka
 

I expected this maana sio kwa promo hii anayopewa man of the people. Mweupe, diplomatic worker, analipwa dola, Ana honga, anajua kupiga mechi exactly what ladies like.

Kuna team roho mbaya ambao huko PM wanaomba namba yake.
 
Teh Yani kuna wanaume akiona tu mdada anavua Pete ya ndoa kabisa

Ila man of the people naye kazidi kujiendekeza. Kila siku analeta swagga za kujifanya tunalala wote ila hatu-do afu anaishia kuuza mechi, mfyuuu zake


Hahahaaa umeshapewa namba yake? Nasikia PM ya kungwi imejaa maombi ya namba.
 
Silent killer alikukosa na huyu pia usituambie kakukosa, haujafikia ujanja huo bado

Sasa mimi sio mweupee rangi ya mtumee, mimi ni rangi ya mkaaa, na supporting documents sinaa, mimi mchagga, nimepigwa pasi, huyu Man of the people atanitakaaa? Mambo ya kuambiwa vaa nguo zako chukua $1000 hapo uende, bila kuguswaaa, nitakimbia JF bila kuaga. We unaona man of the people anatakaga mchezooo? Hahahaaa!

Wanao omba namba za MAN OF THE PEOPLE WANADAI WAO WAPO GADOO, WAMEKAMILIKA. Rangi check, misambwanda check, roho ngumu check, wako fiti kila idara.

Ndo mnisaidie kumshinikiza man of the people anileee.
 
Hihihi
 
Iongezeee kidogo khaaaa man of the people anawavalisha uhusika wanaume wenzie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…