Elections 2010 Weekend ya Mwisho na CCM..Bye Bye!!!!!!!!!

Mungu katupa nafasi ya kuchagua...tusijemlaumu kwa umaskini wetu miaka 5 ijayo...
Mabadiliko yana siku 3 yaanze...
 
Watanzania tusidanganyike 2010,Tz bila CCM inawezekana hebu tuwajaribu hao wengine tuone watatufanyia nini???.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…