Weekend yako ipo kama ulivyotarajia?πŸ€·β€β™€οΈ

Wednesday
 

Attachments

  • 6324054-bd672905e2e91b25f487b70d06c2c846.mp4
    5.2 MB
Mi nilikuwa job leo hivyo labda jioni hii ndio nianze weekend,
Vipi unataka twende wapi 😎
Siendi popote nipo zangu ndani nasilkiliza mziki ila nina vibe kama hivi
 

Attachments

  • Fally Ipupa - Eloko Oyo (Clip officiel).mp4
    20.2 MB
Weekend imebamba sana, familia ina afya njema na furaha . Kwakweli malaika aliyekuwa zamu wiki hii Nampa maua yake.
 
Kwa nini hupendi movie, unachokaa kukaa muda mrefu unaangalia au
Sipendi movie tena bora zamani saivi ndiyo kabisa

Wala shida sio kukaa mbona nakaa muda mrefu nikiwa nasoma nadhani sivutiwi tu
 
Sipendi movie tena bora zamani saivi ndiyo kabisa

Wala shida sio kukaa mbona nakaa muda mrefu nikiwa nasoma nadhani sivutiwi tu
Duh! Mi napenda movie vibaya mno 😁 kila weekend lazima nicheki kama sio moja basi mbili, na najaribu kucheki season kila siku jioni episode moja walau
 
Duh! Mi napenda movie vibaya mno 😁 kila weekend lazima nicheki kama sio moja basi mbili, na najaribu kucheki season kila siku jioni episode moja walau
Yooo mi siwezi hapa naongea na wewe sikumbuki lini niliwasha TV kwa ajili ya movie mimi ni Music tu πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…